News and Events Change View → Listing

Tanzania ePassports, 2019

Utaratibu wa kupata pasipoti mpya

Baada ya maulizo mengi kuhusu utoaji wa Pasipoti Mpya, ufuatao ni utaratibu wa kushughulikia zoezi hilo katika nchi za uwakilishi wetu*: A. KUNUNUA FOMU Mwombaji anaweza kuja Ubalozini na pasipoti…

Read More

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA RAIS WA MALAWI PROFESA ARTHUR MUTHARIKA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehudhuria sherehe za kumwapishwa Rais wa Malawi, Profesa, Arthur Peter Mutharika zilizofanyika jijini Blantyre.Amehudhuria sherehe hizo zilizofanyika kwenye uwanja wa Kamuzi,…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019. For those who wish to travel…

Read More

NOTICE TO TRAVELERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

The Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1 June 2019 all plastic bags, regardless of their thickness will be prohibited from being imported,…

Read More

RAIS DKT. MAGUFULI NA RAIS PROF.MUTHARIKA WAZINDUA MSIMU WA SOKO LA TUMBAKU KANENGO - LILONGWE NCHINI MALAWI

Rais Dkt. Magufuli Na Rais Prof.Mutharika Wazindua Msimu Wa Soko La Tumbaku Kanengo - Lilongwe Nchini Malawi.

Read More

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI

Rais Dkt. Magufuli Awasili Nchini Malawi kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku Mbili

Read More

Meli za TPA kuongeza biashara kati ya Tanzania, Malawi

KUANZA safari kwa meli za mizigo za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika nchi ya Malawi kutaongeza wigo wa kibiashara kati ya nchi ya Tanzania na Malawi.Mbali ya kuongeza zaidi wigo wa…

Read More

MV Njombe yafungua fursa za biashara Tanzania, Malawi na Msumbiji

Kuanza safari kwa Meli za kisasa za mizigo za MV Njombe na MV Ruvuma ambazo zina uwezo wa kubeba uzito wa tani 1,000 kumefungua fursa za kibiashara kati ya Tanzania, Malawi na Msumbiji.Meli ya Mv Njombe ambayo…

Read More