News and Resources Change View → Listing

MHE. BALOZI MAHMOUD THABIT KOMBO (MB), WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANOA WA AFRIKA MASHARIKI AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI MALAWI NA KUHUDHURIA MKUTANO WA SITA WA JPCC KATI YA TANZANIA NA MALAWI,

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), aliwasili nchini Malawi, tarehe 25 Februari, 2025 kwa ziara ya kikazi na kushiriki Mkutano wa Sita wa Tume ya…

Read More

DKT. NTULI ASHINDA KWA KISHINDO UKURUGENZI MKUU WA ECSA - HC

Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya kutoka Tanzania Dkt. Ntuli Kapologwe, aliibuka mshindi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC) na…

Read More

TANZANIA HIGH COMMISSIONER H.E AMBASSADOR AGNES RICHARD KAYOLA ATTENDED THE UMTHETHO CULTURE FESTIVAL 2024.

H.E Ambassador Agnes Richard Kayola, High Commissioner of the United Republic of Tanzania to the Republic of Malawi, attended the Umthetho Culture Festival 2024, at Hora Mountain in Mzimba. Under the theme…

Read More

UFUNGUZI WA MAONESHO YA 34 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA MALAWI

Leo, terehe 23 Mei,2024, Ubalozi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania nchini Malawi umeshiriki kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 34 ya Kimataifa ya Biashara ya Malawi yaliyofanyika jijini Blantyre.Mgeni rasmi…

Read More

MAZUNGUMZO KATI YA MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI NA BW. ALLY KAKOMILE, MSAIDIZI WA KATIBU MTENDAJI WA CENTRAL CORRIDOR

Tarehe 20 Disemba, 2023, Mheshimiwa Balozi Agnes Richard Kayola, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi amefanya mazungumzo na Bw. Ally Kakomile, Msaidizi wa Katibu Mtendaji wa Ukanda wa Kati…

Read More

Rais Dkt. Samia afanya Mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Malawi

Tarehe 7 Julai 2023, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya Mazungumzo Rasmi na Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, Rais wa Jamhuri ya Malawi katika Ikulu ya…

Read More

ZIARA YA KISERIKALI YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI MALAWI

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanza ziara ya kiserikali nchini Malawi tarehe 5 Julai 2023. Akiwa ziarani hapa nchini Malawi alipokelewa na Mwenyeji wake Mhe. Dkt.…

Read More

BALOZI KAYOLA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MALAWI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Mheshimiwa Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu, Jijini…

Read More