MHESHIMIWA AGNES RICHARD KAYOLA, BALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, LILONGWE MALAWI AKUTANA NA UONGOZI WA CHUO KIKUU CHA MALAWI (UNIMA)
Tarehe 20 Mei 2026, Mhe.Agnes Richard Kayola, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Malawi alitembelea Chuo Kikuu cha Malawi (UNIMA) na kufanya mazungumzo na Makamu Mkuu wa Chuo hicho…
Read More





