Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na Akitoamwenyeji wake Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari Ikulu  Jijini Dar es Salaam Oktoba 7, 2020. (PICHA NA IKULU).